1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahasimu wa zamani kupokonywa silaha Ivory Coast:

10 Januari 2004
https://p.dw.com/p/CFkb
YAMOUSSOUKRO: Nchini Ivory Coast, huko Afrika ya Magharibi, Waziri Mkuu Seydou Diarra ameanzisha rasmi kampeni ya kupokonywa silaha makundi yaliyoshiriki katika vita vya ndani. Nusu mwaka baada ya kufikiwa muwafaka wa kuwekwa chini silaha waasi wa zamani watapokonywa silaha katika majimbo 17. 1a2s