1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Tanzania yasema CAG alitolewa kinyume na katiba

George Njogopa6 Desemba 2022

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe amesema amekaribisha hukumu iliyotolewa na mahakama kuu iliyotamka kuwa Rais wa awamu ya tano, John Magufuli alivunja katiba kutokana na hatua yake ya kumfuta kazi aliyekuwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesababu za serikali, Profesa Mussa Assad.

https://p.dw.com/p/4KXD9