1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Katiba Afrika Kusini yahalalisha bangi

19 Septemba 2018

Mahakama ya Katiba nchini Afrika Kusini imeruhusu matumizi ya bangi kwa mtu mmoja mmoja, ikisema sheria inayopiga marufuku matumizi ya kibinafsi ya bangi inakwenda kinyume na katiba.

https://p.dw.com/p/356wZ