1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya ICC yamkuta Dominic Ongwen na hatia

4 Februari 2021

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu - ICC imemkuta na hatia Dominic Ongwen, kamanda wa zamani wa waasi nchini Uganda aliyeshitakiwa kwa makosa 70 ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu na uhalivu wa kivita. Mahakama hiyo imemkuta Ongwen na hatia 61 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinaadamu.

https://p.dw.com/p/3ossP