1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama Tanzania yasema Mbowe ana kesi ya kujibu

18 Februari 2022

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania imemkuta mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini humo Chadema, Freeman Mbowe pamoja na wenzake watatu wana kesi ya kujibu.

https://p.dw.com/p/47G59