1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko Afrika Mashariki

7 Novemba 2023

Mvua za vuli zimeendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki huku kukishuhudiwa athari katika baadhi ya maeneo kutokana na mafuriko yatokanayo na mvua hizo. Hali kama hii imekuwa ikishuhudiwa mara kadhaa mvua zinaponyesha huku wengi wakilaumu serikali. Lakini je hili lina ukweli gani? Lillian Mtono amezungumza na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania Albert Chalamila.

https://p.dw.com/p/4YWGX