1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaAsia

Ni kwa nini madini ya asbestos ni hatari inayotishia ulimwenguni kote?

4 Septemba 2023

Madini ya asbestosi imepigwa marufuku katika takriban nchi 70 duniani. Lakini nchi nyingine bado hutumia madini haya hatari. Je asbeston ni hatari kiasi gani? Watu huwa hatarini zaidi wapi? Na je ni vipi matumizi yake yanaweza kukomeshwa?

https://p.dw.com/p/4VohT