1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiEthiopia

Madhila ya njaa Tigray baada ya vita

15 Desemba 2023

Makubaliano ya amani ya Ethiopia yaliyosainiwa mwaka mmoja uliopita yalimaliza vita Tigray na kuleta utulivu katika jimbo hilo. Lakini mamilioni ya watu sasa wanakabiliwa na changamoto nyingine ya njaa. Zaidi ya wakaazi milioni moja wa Tigray wanakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula. Hayo ni kulingana na shirika la Chakula Duniani WFP.

https://p.dw.com/p/4aDyi