1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila dhidi ya wanawake walioko maeneo ya machafuko DRC

Babu Abdalla8 Machi 2023

Harakati za kuwakomboa wanawake dhidi ya madhila ya ubakaji na unyanyasaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinaendelea hasa kwenye maeneo ya vita. Sikiliza mahojiano ya Babu Abdala na Despine Karuke, anayeongoza harakati hizo za kuwakomboa wanawake.

https://p.dw.com/p/4OPJ1