1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari na Wauguzi wagoma nchini Burundi

9 Desemba 2008

Madaktari na wauguzi nchini Burundi wamegoma kufanyakazi kwa muda wa wiki ya tatu sasa.

https://p.dw.com/p/GCQK

Sekione Kitojo alizungumza na Dr. Kasai wa hospitali kuu mjini Bujumbura, ambaye alitaka kujua nini madai yao katika mgomo huo.