1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machungu ya tohara Afrika Kusini

6 Mei 2020

Barani Afrika, tohara ni utamaduni muhimu unaochukuliwa kama daraja ya kumvusha mtu kutoka ujana hadi utu uzima. Lakini nchini Afrika Kusini, kila mwaka vijana wengi hufariki kutokana na tohara huku mamia wengine wakiachwa na majeraha mabaya. Fahamu mengi kuhusu machungu ya tohara kwenye VijanaMubashara, 77Asilimia

https://p.dw.com/p/3bqbx