1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machungu ya baada ya uchaguzi Ivory Coast

3 Desemba 2020

Brice Oueza ni mwanafunzi na pia mwanaharakati alijisajili kuwa mpiga kura akitarajia uchaguzi huru na wa haki Ivory Coast. Lakini baada ya upinzani kujiondoa uchaguzi huo kufuatia machafuko, Brice aliamua kutopiga kura. Rais Alassane Ouattara alishinda uchaguzi huo kwa kishindo. Lakini Brice bado anaamini sauti ya vijana ndio ufunguo wa mabadiliko.

https://p.dw.com/p/3mAWV