1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machar akubali wadhfa wa zamani wa makamu wa rais

9 Julai 2018

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar amekubali kurudi kwenye wadhifa wake wa zamani wa makamu wa kwanza wa rais baada ya kufikiwa makubaliano ya amani huko Uganda. Lakini kundi moja la waasi Sudan Kusini limeyakata makubaliano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Mwasimba na aliyekuwa mshauri wa bunge la nchi hiyo Martin Oloo.

https://p.dw.com/p/314L9