1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabingwa watetezi Real Madrid waishinda Chelsea 2-0

13 Aprili 2023

Mabingwa watetezi Real Madrid waishushia kipigo cha 2-0 Chelsea katika mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hapo jana.

https://p.dw.com/p/4PzBI
UEFA Champions League | Viertelfinale | Real Madrid gegen Chelsea | Karim Benzema
Picha: Jose Breton/Manu Fernandez/AP Photo/picture alliance

Karim Benzema aliifungia Real Madrid  bao la kwanza katika dadika ya 21 wakati mchezaji wa akiba Marco Asensio alipata bao la pili katika dakika ya 74, kabla ya hapo mchezaji wa Chelsea Ben Chilwell alitolewa nje kwa kadi nyekundu.

Katika mchezo mwingine AC Milan wameshinda mechi yao ya kwanza 1-0 dhidi ya Napoli ya Italia.