1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabaki mengine ya Dainosaria yagunduliwa Tendaguru

Salma Mzee27 Oktoba 2021

Makala yetu leo imetia nanga katika eneo hilo la Tendaguru, Mkoani Lindi Kusini mwa Tanzania, kuangazia ugunduzi mwingine wa masalia ya Mjusi mkubwa aina ya Dainosaria. Msimuliaji ni Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/42ErC