1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabadiliko ya tabianchi yameleta athari zaidi Ulaya

Saleh Mwanamilongo
10 Septemba 2021

Moto mkali uliowaka kusini mwa Ulaya toka mwezi uliopita, iwe umesababishwa na radi, au na wachomaji moto, umechochewa na ukame na joto kali. Kwenye makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia jinsi bara la Ulaya linavyokabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo yamesababisha ukame na mafuriko kwa wakati mmoja. Msimulizi ni Saleh Mwanamilongo.

https://p.dw.com/p/40AXq