1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabadiliko ya tabia nchi na madirisha ya glasi yauwa ndege

20 Julai 2022

Swala la mabadiliko ya hali ya hewa na upungufu wa chakula si geni kwa bara la Afrika, takwimu zinaonesha nchi nyingi hasa zilizo kusini mwa jangwa la sahara hukumbwa na ukame au Mvua za juu ya kiwango kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa katika vipindi vya misimu ya kilimo na kupelekea upungufu wa chakula, Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Alex Mchomvu.

https://p.dw.com/p/4EOiC