1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano ya kushinikiza amani DRC

2 Desemba 2022

Baadhi ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waandamana kwa kuonesha wasiwasi wa jitihada za kunusuru usalama wa taifa lao zinazofanywa na jumuiya ya kimataifa ikiwemo ya Afrika Mashariki.#Kurunzi

https://p.dw.com/p/4KOtB