1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano nchini Sudan yatazaa matunda?

Saumu Ramadhani Yusuf4 Februari 2019

Kumekuwa na maandamano nchini Sudan kwa wiki kadhaa sasa tangu mwezi wa Disemba mwaka uliopita, 2018. Sababu ya maandamano hayo ni kuongezwa kwa bei ya mkate na pia kupanda kwa gharama ya maisha. Maandamano hayo sasa yamekuwa kitisho kwa utawala wa miaka mingi wa Rais Omar al-Bashir. Je matokeo yake yatakuwa gani? Ndilo suala ambalo linajadiliwa kwenye kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/3Cfdg