1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya uchaguzi wa Ujerumani yamefikia wapi?

6 Septemba 2021

Uchaguzi mkuu Ujerumani unafanyika Septemba 26. Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa aina yake kwani Ujerumani itapata kiongozi mpya baada ya Kansela Angela Merkel kutogombea wadhifa wake wa ukansela baada ya kuwepo madarakani kwa miaka 16. Harisson Mwilima anafanya ziara katika maeneo mbalimbali ya Ujerumani kufuatilia maandalizi kuelekea uchaguzi huo Babu Abdalla amezungumza nae

https://p.dw.com/p/3zzAE