1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya ramadhani kwa mayatima Dar es Salaam

12 Aprili 2021

Ni msimu mwingine wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo waumini wa dini ya Kiisilamu hutekeleza ibada ya funga sambamba na kukarimu wengine wenye uhitaji maalumu wakiwemo masikini na mayatima kwa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula vya aina tofauti ili kuwarahisishia funga zao.

https://p.dw.com/p/3ruHN