1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya ramadhani katika mfumuko wa bei ya vyakula

1 Aprili 2022

Kupanda kwa bidhaa ya mafuta na sukari kuelekea mwezi wa ramadhani hatua ambayo inawapa hofu wananchi wengi na badala yake wengine wameamua kujipanga na matumizi ya bidhaa mbadala kama karanga pamoja na nazi, je vipi kwa wasio weza kutumia bidhaa mbadala?

https://p.dw.com/p/49LW7