1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif awania uongozi wa ACT Wazalendo, msukumo ni upi?

Khelef Mohammed Mohammed31 Januari 2020

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif, amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha uwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo. Hili limeibua maswali mengi kuhusiana na dhamira na hata kuhusu ukweli kuwa umri wake umeshakuwa mkubwa kuweza kuendelea na mikiki ya uongozi wa taasisi ya kisiasa. Mohammed Khelef amezungumza naye na kwanza anaeleza sababu zake za kuwania uwenyekiti wa ACT.

https://p.dw.com/p/3X6SW