1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif agombea uwenyekiti ACT Wazalendo

Khelef Mohammed Mohammed3 Februari 2020

Mwanasiasa mkongwe Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye mwaka jana alifukuzwa na chama chake cha CUF na kuamua kujiunga na chama kipya cha ACT Wazalendo ameamua kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uwenyekiti wa chama hicho. Hilo limeibua maswali mengi kuhusiana na umri wake ambao umeshakuwa mkubwa mno. DW imezungumza na Maalim Seif.

https://p.dw.com/p/3XCX6