1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maajabu ya "Shimo la Mungu" Mtwara

Sudi Mnette1 Agosti 2019

Katika safu ya Sadiki Ukipenda ya leo, unamsikiliza Salma Mkalibala, na maajabu ya shimo la Mungu ambayo yanapatikana huko, wilayani Newala mkoani Mtwara. Zaidi sikiliza kipindi Karibuni.

https://p.dw.com/p/3NBAm