1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maafisa wa usalama wanyanyasa wapinzani Uganda

Mohamed Dahman25 Mei 2017

Rais Yoweri Museveni ameamuru jeshi, polisi na mashirika ya ujasusi kukomesha kuteswa kwa watuhumiwa. Mbiu ya Mnyonge inaungana na kilio cha wafuasi wa upinzani na wanaharakati ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kwamba vikosi ya polisi na usalama vimekuwa vikitumia nguvu kubwa kupindukia dhidi yao.

https://p.dw.com/p/2dZNC