1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Maadili katika mialiko

6 Machi 2017

Vijana wanazungumziaje mialiko wanayopata? je hutilia maanani masuala ya msingi kama mavazi yanayoendana na mualiko huo? Na kanuni za ulaji kama kutumia vijiko, uma au hata kuanza kwa aina fulani ya mlo? Sikiliza makala haya ya Vijana Mchakamchaka, ya John Juma ili kujua haya yote.

https://p.dw.com/p/2Yfvo