Matangazo
Viongozi wapatao 70 hadi 80 wa dunia akiwemo Rais Donald Trump wa Marekani na Mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, mwishoni mwa jumahili wanatarajiwa kujumuika katika mji mkuu wa Ufaransa Paris kwa sherehe ya kuadhimisha miaka 100 tangu kumalizika vita vya kwanza vya Dunia.