1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUXEMBOURG. Romania na Bulgaria kusaini mikataba ya Umoja wa Ulaya leo.

25 Aprili 2005
https://p.dw.com/p/CFJd

Romania na Bulgaria zitasaini mikataba ya kujiunga na jumuiya ya Ulaya hii leo. Hatua hii itafungua milango kwa mataifa hayo kujiunga na jumuiya hiyo mwaka wa 2007. Viongozi wa nchi hizo watasaini mikataba hiyo kandoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni wa umoja wa Ulaya mjini Lexembourg.