1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUXEMBOURG: Mazungumzo juu ya Croatia kujiunga na Umoja wa Ulaya yaanza

4 Oktoba 2005
https://p.dw.com/p/CEV5

Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wemeanza mazungumzo na Croatia juu ya nchi hiyo kujiunga na umoja huo. Mazungumzo hayo yanafuatia tamko la Umoja wa Mataifa kwamba Croatia inashirikiana vizuri na mahakama ya kimataifa.