1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
FilamuKenya

Lupita Nyong'o, muigizaji wa Kenya na Jaji Mkuu Berlinale

Hawa Bihoga
21 Februari 2024

Lupita Nyong'o amekuwa akipinga uovu na kuonesha ushujaa katika majukwaa ya filamu ulimwenguni, kung'ara kwake kwenye ulimwengu wa filamu mara zote kunatoa ishara ya ujasiri kwa mtu mweusi, kuutangaza utamaduni wa Afrika na kulichora bara la Afrika kama kielelezo cha mapambano ya kweli na kilele cha mafanikio.

https://p.dw.com/p/4ci1e