1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUANDA: Ugonjwa wa Polio wachomoza upya

20 Agosti 2005
https://p.dw.com/p/CEjV

Angola imeomba msaada wa jumuiya ya kimataifa kupambana na ugonjwa wa polio.Kuna khofu kuwa ugonjwa huo wa kupooza ulioripuka upya huenda ukasambaa nje ya mipaka ya Angola,baada ya kuthibitishwa kwa kesi 7 za polio.