1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUANDA: Ugonjwa Unaofanana na Ebola wauwa watu watatu zaidi Angola.

30 Machi 2005
https://p.dw.com/p/CFS6

Ugonjwa wa homa kali uliozuka huko Angola umewauwa watu watatu zaidi.

Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa hadi kufikia sasa watu 117 wameuwawa na ugonjwa huo wa homa kali inayofanana na ugonjwa wa Ebola ambao mpaka sasa tiba yake haijapatikana.