1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu afunguka na kumtahadharisha Magufuli

Najma Said6 Septemba 2018

Mbunge wa chama cha Chadema Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema yuko tayari kurejea nyumbani na kuendelea kujihusisha na siasa, mwaka mmoja tangu aliposhambuliwa. Katika mahojiano maalumu aliyofanyiwa na Najma Said mjini Brussels nchini Ubeligiji, ambako amekuwa akiendelea kutibiwa, Lissu alizungumzia jinsi shambulizi hilo lilivyomuathiri.

https://p.dw.com/p/34PrL