1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ligi Kuu ya Rwanda yaanza tena

21 Agosti 2023

Ligi kuu ya Rwanda  ‘’Rwanda Premier League’’ yaanza rasmi mwishoni mwa wiki huku Rayon ikianza vizuri  kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Gasogi United. Sikiliza mengi zaidi na Christopher Karenzi akiwa Kigali, Rwanda.

https://p.dw.com/p/4VPZ2