1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ligi kuu Tanzania bara yatifua vumbi

Josephat Charo
13 Desemba 2021

Pambano la watani wa jadi Simba na Yanga lamalizikia sare tasa, tambo kimya. Timu ya Tanzania ya mchezo wa kuogelea yamaliza nafasi ya pili mashindano yaliyofanyika nchini Uganda. Sikiliza ripoti ya Mindi Joseph (pichani)

https://p.dw.com/p/44Ccw