1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lifahamu tatizo la Anorexia Nervosa

13 Novemba 2023

Kwa lugha nyepesi, Anorexia Nervosa, ni hali ya kiafya inayomfanya mtu kuogopa kuongeza kilo za mwili au kuwa mnene. Wasiwasi huo huwafanya wenye tatizo hilo kujizuia kula chakula cha kutosha na hata kujishindisha njaa wakidhani miili yao imezidi uzito hata kama kwa uhalisia ni wembamba wasio na uzito wa kutosha. Sikiliza wataalamu wakifanunua tatizo la Anorexia Nervosa na jinsi ya kulitibu.

https://p.dw.com/p/4Yl1X