1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leipzig yaweka historia ligi ya mabingwa

Josephat Charo
14 Agosti 2020

RB Leipzig imeweka historia kwa kutinga nusu fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya, Champions League, baada ya kuipiga kumbo Atletico Madrid ya Uhispania 2-1 Alhamisi (13.08.2020). Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3gz3a