1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leipzig waelekea Abu Dhabi kwa mazoezi

Josephat Charo
2 Januari 2023

RB Leipzig waelekea Abu Dhabi kwa mazoezi ya mwisho kabla duru ya pili ya Bundesliga kuanza Januari 20. Klabu ya Chelsea yakwama katika juhudi zake za kuparamia kileleni mwa ligi ya Premier huko England. Paris Saint Germain walambishwa mchanga na Lens katika Ligue 1 nchini Ufaransa.

https://p.dw.com/p/4LeRh