1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lavrov ziarani Afrika nini inatarajia?

Daniel Gakuba25 Julai 2022

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov ambaye kwa sasa yupo ziarani barani Afrika, ametoa hakikisho la usambazaji wa nafaka kutoka Urusi muda mfupi alipowasili mjini Cairo, Misri.Wachambuzi wanaizungumziaje ziara hiyo? Danieli Gakuba amezungumza na Ali Mali kwanza amemuuliza Urusi inatarajia nini katika ziara hiyo?

https://p.dw.com/p/4Eb8k