1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini vijana wanapenda kuishi Ulaya?

Elizabeth Fredrick Shoo10 Februari 2017

Ni kweli kwamba Ulaya au kwenye nchi za Magharibi kuna maisha mazuri kuliko kwenye nchi za Afrika? Vijana Mchakamchaka inazungumza na watu mbalimbali kupata maoni yao na kusikia kwanini wanapenda au hawapendi kukaa nchi za nje.

https://p.dw.com/p/2XJGL