1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini ACT-Wazalendo imejiunga na serikali ya kitaifa?

Rashid Chilumba8 Desemba 2020

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemwapisha mwanasiasa wa siku nyingi kutoka chama cha upinzani ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa makamu wa kwanza wa rais saa chache tangu kamati kuu ya ACT Wazalendo ilipoazimia kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa visiwani humo. Je uamuzi huo unamaanisha nini? Msikilize Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Addo Shaibu.

https://p.dw.com/p/3mPCP