1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini wanawake wengi hawapandishwi vyeo licha ya kufuzu?

Wakio Mbogho3 Mei 2023

Ripoti iliyotolewa na taasisi ya masuala ya kiuchumi nchini (IEA Kenya) inasema kuwa wanawake wengi katika taifa la Kenya wamehitimu katika viwango tofauti vya masomo lakini wengi hawajafanikiwa kupata nafasi za kazi walizosomea.

https://p.dw.com/p/4QpFq