1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini Afrika inabaki nyuma katika Olimpiki?

14 Agosti 2024

Zilikuwa siku 16 za burudani iliyotokana na michezo ya kiwango cha juu ambapo wanamichezo walionesha umahiri wao na kujizolea medali katika michezo mbalimbali katika Olimpiki ya Paris 2024. Lakini kwa nini nchi za Kiafrika zinabaki nyuma katika mashindano mbalimbali kando na riadha?

https://p.dw.com/p/4jRX8