1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Kuzima kwa mitandao ya kijamii ya WhatsApp

8 Oktoba 2021

Mapema wiki hii, ulimwengu ulikumbwa na hali ya mkanganyiko baada ya mitandao ya kijamii kuzimika ghafla kwa masaa kadhaa. Je, ni kwa kiasi gani dunia imekuwa tegemezi kwa mitandao ya kijamii? Ndio mada inayojadiliwa kwenye Maoni mbele ya Meza ya duara. Ungana na Mohammed Khelef akiwa na wachambuzi wa mitandao ya kijamii na wataalamu wa mawasiliano.

https://p.dw.com/p/41S3H