1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutumiana ujumbe wenye maudhui ya ngono imekuwa janga

4 Septemba 2018

Mwenendo wa kutumiana ujumbe wenye maudhui ya ngono kwa njia ya simu unawaathiri vipi vijana na hasa linapokuja suala la mahusiano halisi ya kimapenzi? Ungana na Bruce Amani ufahamu zaidi juu ya tabia hiyo inayoelezwa kuwa imekuwa janga miongoni mwa vijana.

https://p.dw.com/p/34G1A