1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutoka kuwa mhamiaji hadi kuwa nyota wa muziki: Chris Obehi

11 Novemba 2020

Mwimbaji wa Nigeria Chris Obehi amekuwa maarufu katika mji anakoishi sasa Palermo Italia. Alitoka mjini kwao akiwa na umri wa miaka 17 kutafuta maisha mazuri Ulaya. Lakini safari haikuwa rahisi. Kwa hivyo alianza muziki kama njia ya kujiliwaza.

https://p.dw.com/p/3l8pp