1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na wasichana wanaotengeneza matofali Kampala

1 Desemba 2021

Licha ya kuwa wamehitimu shahada ya ualimu katika chuo kikuu, wasichana hawa kutoka Kampala Uganda wameamua kujitosa katika ujasiriamali. Wanatengeneza matofali ambayo hayahitaji kuchomwa kwa moto. Lubega Emmanuel anaangazia juhudi zao kwenye video yetu ya #KurunziWanawake.

https://p.dw.com/p/43hfj