1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariKenya

Kutana na Sally mpiga mbizi mkongwe anaependa kazi yake

31 Januari 2024

Umri wake haujampa sababu ya kuipa kisogo kazi anaoifanya kwa takriban miongo minne sasa, kazi yake imemfanya kuwa miongoni mwa wapigambizi wa kutegemewa wakati majanga yanapotokea kama mafuriko na hata ajali za majini. Sally anabaki kuwa alama ya mwanamke jasiri katika tasnia ya wapiga mbizi nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/4btZR
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kenia Mombasa Ummi mit Kollegen bei blood festivals
Picha: Fathiya Bayusuf/DWPicha: Fathiya Bayusuf/DW

Kurunzi Wanawake

Vidio ya habari na matukio