1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na mmea unaojipiga picha ya selfie

Yusra Abdallah Buwayhid23 Oktoba 2019

Kwenye Sema Uvume mara hii tunaelekea Cameroon kulikovumbuliwa App mpya ya kuwasaidia wakulima barani Afrika kutambua magonjwa yanayovamia mimea ya nyanya. Kisha utasikia jinsi watunzaji wa mazingira katika bustani ya wanyama huko London walivyouwezesha mmea wa majani "kujipiga picha zake mwenyewe" yaani selfie.

https://p.dw.com/p/3Rf0l